Methali 19:4 - Swahili Revised Union Version4 Utajiri huongeza marafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mali huvuta marafiki wengi wapya, lakini maskini huachwa bila rafiki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mali huleta rafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mali huleta marafiki wengi, bali rafiki wa mtu maskini humwacha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Utajiri huongeza marafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake. Tazama sura |