Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na tisa, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.
Methali 10:9 - Swahili Revised Union Version Aendaye kwa unyofu huenda salama; Bali apotoshaye njia zake atajulikana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aishiye kwa unyofu huishi salama, apotoshaye maisha yake atagunduliwa. Biblia Habari Njema - BHND Aishiye kwa unyofu huishi salama, apotoshaye maisha yake atagunduliwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aishiye kwa unyofu huishi salama, apotoshaye maisha yake atagunduliwa. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwadilifu hutembea salama, lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwadilifu hutembea salama, lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa. BIBLIA KISWAHILI Aendaye kwa unyofu huenda salama; Bali apotoshaye njia zake atajulikana. |
Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na tisa, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.
Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao, BWANA atatoa neema na utukufu. Hatawanyima kitu chema Hao waendao kwa ukamilifu.
Mtu mwenye moyo wa ukaidi hatapata mema; Na mwenye ulimi wa upotovu huanguka katika misiba.
Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana.
Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulika yaliyositirika katika giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.
Vivyo hivyo matendo yaliyo mazuri yako dhahiri; wala yale yasiyo dhahiri hayawezi kusitirika.