Methali 26:26 - Swahili Revised Union Version26 Ingawa chuki hufunikwa na hila; Uovu wake utadhihirika mbele ya kusanyiko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Huenda akaficha chuki yake, lakini nia zake mbaya zitajulikana kwa wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Huenda akaficha chuki yake, lakini nia zake mbaya zitajulikana kwa wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Huenda akaficha chuki yake, lakini nia zake mbaya zitajulikana kwa wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu, lakini uovu wake utafichuliwa kwenye kusanyiko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu, lakini uovu wake utafichuliwa kwenye kusanyiko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Ingawa chuki hufunikwa na hila; Uovu wake utadhihirika mbele ya kusanyiko. Tazama sura |