Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
Methali 10:5 - Swahili Revised Union Version Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenye busara hukusanya wakati wa mavuno, kulala wakati wa kuvuna ni aibu. Biblia Habari Njema - BHND Mwenye busara hukusanya wakati wa mavuno, kulala wakati wa kuvuna ni aibu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenye busara hukusanya wakati wa mavuno, kulala wakati wa kuvuna ni aibu. Neno: Bibilia Takatifu Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi ni mwana mwenye hekima, lakini yeye alalaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi ni mwana mwenye hekima, lakini yeye alalaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. BIBLIA KISWAHILI Akusanyaye wakati wa joto ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. |
Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
Mtumwa atendaye kwa busara atamtawala mwana atendaye mambo ya aibu; Tena atapata sehemu ya urithi kati ya ndugu.
Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.