Methali 30:25 - Swahili Revised Union Version25 Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 sisimizi: wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto. Tazama sura |