Methali 30:26 - Swahili Revised Union Version26 Kwanga ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 pelele: Wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 pelele: Wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 pelele: wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo, hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Kwanga ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. Tazama sura |