Methali 6:6 - Swahili Revised Union Version6 Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ewe mvivu! Hebu ukamchungulie sisimizi, fikiria namna yake ya kuishi ukapate hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ewe mvivu! Hebu ukamchungulie sisimizi, fikiria namna yake ya kuishi ukapate hekima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ewe mvivu! Hebu ukamchungulie sisimizi, fikiria namna yake ya kuishi ukapate hekima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ewe mvivu, mwendee mchwa; zitafakari njia zake ukapate hekima! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ewe mvivu, mwendee mchwa; zitafakari njia zake ukapate hekima! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima. Tazama sura |