Methali 6:5 - Swahili Revised Union Version5 Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji, Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Jiweke huru, kama paa kutoka mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka mtego wa mwindaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji, Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego. Tazama sura |