Methali 12:4 - Swahili Revised Union Version4 Mwanamke mwema ni taji la mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mke mwema ni taji ya fahari kwa mumewe; amwaibishaye mumewe ni kama kidonda mifupani mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mke mwema ni taji ya fahari kwa mumewe; amwaibishaye mumewe ni kama kidonda mifupani mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mke mwema ni taji ya fahari kwa mumewe; amwaibishaye mumewe ni kama kidonda mifupani mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mke mwenye tabia nzuri ni taji la mumewe, bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mwanamke mwema ni taji la mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake. Tazama sura |