Methali 5:2 - Swahili Revised Union Version Upate kuilinda busara, Na midomo yako iyahifadhi maarifa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo utakapoweza kuhifadhi busara, na midomo yako izingatie maarifa. Biblia Habari Njema - BHND Ndipo utakapoweza kuhifadhi busara, na midomo yako izingatie maarifa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo utakapoweza kuhifadhi busara, na midomo yako izingatie maarifa. Neno: Bibilia Takatifu ili uweze kutunza busara na midomo yako ihifadhi maarifa. Neno: Maandiko Matakatifu ili uweze kutunza busara na midomo yako ihifadhi maarifa. BIBLIA KISWAHILI Upate kuilinda busara, Na midomo yako iyahifadhi maarifa. |
Wewe u mzuri sana kuliko wanadamu; Neema imemiminiwa midomoni mwako, Kwa hiyo Mungu amekubariki hata milele.
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.
Bibi arusi, midomo yako yadondosha asali, Asali na maziwa viko chini ya ulimi wako; Na harufu ya mavazi yako Ni kama harufu ya Lebanoni.