Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA kama nyumba ya Ahabu; kwa kuwa hao walikuwa washauri wake, baada ya kifo cha baba yake, hata aangamie.
Methali 24:6 - Swahili Revised Union Version Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana. Biblia Habari Njema - BHND Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana kwa mwongozo mzuri waweza kupigana vita, na kwa washauri wengi ushindi hupatikana. Neno: Bibilia Takatifu kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi. Neno: Maandiko Matakatifu kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi. BIBLIA KISWAHILI Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu. |
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA kama nyumba ya Ahabu; kwa kuwa hao walikuwa washauri wake, baada ya kifo cha baba yake, hata aangamie.
Au kuna mfalme gani, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, haketi kwanza na kufanya shauri, kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana na yule anayekuja juu yake na watu elfu ishirini?