Methali 24:5 - Swahili Revised Union Version5 Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kuwa na hekima ni bora kuliko kuwa na nguvu, naam, maarifa ni bora kuliko nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kuwa na hekima ni bora kuliko kuwa na nguvu, naam, maarifa ni bora kuliko nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kuwa na hekima ni bora kuliko kuwa na nguvu, naam, maarifa ni bora kuliko nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; Tazama sura |