Methali 11:14 - Swahili Revised Union Version14 Pasipo mashauri taifa huanguka; Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Pasipo na uongozi taifa huanguka, penye washauri wengi pana usalama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Pasipo na uongozi taifa huanguka, penye washauri wengi pana usalama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Pasipo na uongozi taifa huanguka, penye washauri wengi pana usalama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Pasipo mashauri taifa huanguka; Bali kwa wingi wa washauri huja wokovu. Tazama sura |