Methali 11:15 - Swahili Revised Union Version15 Amdhaminiye mgeni hakosi ataumia; Achukiaye mambo ya dhamana yuko salama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Anayemdhamini mgeni atakuja juta, lakini anayechukia mambo ya dhamana yu salama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Anayemdhamini mgeni atakuja juta, lakini anayechukia mambo ya dhamana yu salama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Anayemdhamini mgeni atakuja juta, lakini anayechukia mambo ya dhamana yu salama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka, bali yeyote akataaye kuunga mkono dhamana ni salama. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Amdhaminiye mgeni hakosi ataumia; Achukiaye mambo ya dhamana yuko salama. Tazama sura |