Na mwana mmoja wa Yoyada, mwana wa Eliashibu, kuhani mkuu, alikuwa mkwewe Sanbalati, Mhoroni, basi nikamfukuza kwangu.
Methali 22:10 - Swahili Revised Union Version Mtupe nje mwenye dharau, na ugomvi utatoka; Naam, fitina na fedheha zitakoma. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfukuze mwenye dharau na fujo itatoweka, ugomvi na matusi vitakoma. Biblia Habari Njema - BHND Mfukuze mwenye dharau na fujo itatoweka, ugomvi na matusi vitakoma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfukuze mwenye dharau na fujo itatoweka, ugomvi na matusi vitakoma. Neno: Bibilia Takatifu Mfukuze mwenye dhihaka, na mvutano utatoweka; ugomvi na matukano vitakoma. Neno: Maandiko Matakatifu Mfukuze mwenye dhihaka, na mvutano utatoweka; ugomvi na matukano vitakoma. BIBLIA KISWAHILI Mtupe nje mwenye dharau, na ugomvi utatoka; Naam, fitina na fedheha zitakoma. |
Na mwana mmoja wa Yoyada, mwana wa Eliashibu, kuhani mkuu, alikuwa mkwewe Sanbalati, Mhoroni, basi nikamfukuza kwangu.
Amsingiziaye jirani yake kwa siri, Huyo nitamwangamiza. Mwenye macho ya kiburi na moyo wa majivuno, Huyo sitamvumilia.
Mwenye kiburi na kutakabari, jina lake ni mbishi; Hutenda mambo katika majivuno ya kiburi chake.
Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.
Basi hapo watu wa Israeli walipoona ya kuwa Abimeleki amekufa, wakaondoka wakaenda kila mtu mahali pake.