Mathayo 18:17 - Swahili Revised Union Version17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watozaushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watozaushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watozaushuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Akikataa kuwasikiliza hao, waambieni kundi lenu la waumini. Naye akikataa hata kuwasikiliza kundi la waumini, basi awe kwenu kama mtu asiyeamini au mtoza ushuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kama akikataa kuwasikiliza hao, ambieni kundi lenu la waumini. Naye kama akikataa hata kulisikiliza kundi la waumini, basi awe kwenu kama mtu asiyeamini au mtoza ushuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru. Tazama sura |