1 Wakorintho 5:13 - Swahili Revised Union Version13 Lakini hao walio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mfukuzeni mbali nanyi huyo mwovu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mungu atawahukumu hao walio nje. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mungu atawahukumu hao walio nje. “Ninyi mwondoeni huyo mtu mwovu miongoni mwenu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Lakini hao walio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu. Tazama sura |
Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.