Methali 17:20 - Swahili Revised Union Version Mtu mwenye moyo wa ukaidi hatapata mema; Na mwenye ulimi wa upotovu huanguka katika misiba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenye moyo mpotovu hafanikiwi, na msema uongo hupatwa na maafa. Biblia Habari Njema - BHND Mwenye moyo mpotovu hafanikiwi, na msema uongo hupatwa na maafa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenye moyo mpotovu hafanikiwi, na msema uongo hupatwa na maafa. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa; naye ambaye ulimi wake ni mdanganyifu huanguka kwenye taabu. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa; naye ambaye ulimi wake ni mdanganyifu huanguka kwenye taabu. BIBLIA KISWAHILI Mtu mwenye moyo wa ukaidi hatapata mema; Na mwenye ulimi wa upotovu huanguka katika misiba. |
Watu wenye akili huweka akiba ya maarifa; Bali kinywa cha mpumbavu ni uangamivu ulio karibu.
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
Maneno ya kinywa chake mwenye hekima yana neema; Bali midomo ya mpumbavu itammeza nafsi yake.