Methali 10:31 - Swahili Revised Union Version31 Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima; Bali ulimi wa ukaidi utakatiliwa mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kinywa cha mwadilifu hutoa mambo ya hekima, lakini ulimi wa mtu mbaya utakatiliwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kinywa cha mwadilifu hutoa mambo ya hekima, lakini ulimi wa mtu mbaya utakatiliwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kinywa cha mwadilifu hutoa mambo ya hekima, lakini ulimi wa mtu mbaya utakatiliwa mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima; Bali ulimi wa ukaidi utakatiliwa mbali. Tazama sura |