Methali 15:16 - Swahili Revised Union Version Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu. Neno: Bibilia Takatifu Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Mwenyezi Mungu, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. Neno: Maandiko Matakatifu Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha bwana, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. BIBLIA KISWAHILI Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu. |
Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi.
Heri konzi moja pamoja na utulivu, Kuliko konzi mbili pamoja na taabu; na kufukuza upepo.