Mhubiri 4:6 - Swahili Revised Union Version6 Heri konzi moja pamoja na utulivu, Kuliko konzi mbili pamoja na taabu; na kufukuza upepo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ni afadhali kuwa na kidogo tu, pamoja na amani moyoni, kuliko kuwa na mengi, pamoja na taabu; sawa tu na kufukuza upepo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ni afadhali kuwa na kidogo tu, pamoja na amani moyoni, kuliko kuwa na mengi, pamoja na taabu; sawa tu na kufukuza upepo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ni afadhali kuwa na kidogo tu, pamoja na amani moyoni, kuliko kuwa na mengi, pamoja na taabu; sawa tu na kufukuza upepo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Afadhali konzi moja pamoja na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu na kukimbiza upepo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Afadhali konzi moja pamoja na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu na kukimbiza upepo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Heri konzi moja pamoja na utulivu, Kuliko konzi mbili pamoja na taabu; na kufukuza upepo. Tazama sura |