Methali 12:9 - Swahili Revised Union Version Afadhali mtu anayedharauliwa, ikiwa ana mtumwa, Kuliko ajisifuye, ikiwa anahitaji chakula. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali mtu wa chini anayejitegemea, kuliko ajitakiaye makuu na kukosa chakula. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali mtu wa chini anayejitegemea, kuliko ajitakiaye makuu na kukosa chakula. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali mtu wa chini anayejitegemea, kuliko ajitakiaye makuu na kukosa chakula. Neno: Bibilia Takatifu Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi, kuliko kujifanya mtu wa hali ya juu nawe huna chakula. Neno: Maandiko Matakatifu Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi, kuliko kujifanya mtu wa hali ya juu nawe huna chakula. BIBLIA KISWAHILI Afadhali mtu anayedharauliwa, ikiwa ana mtumwa, Kuliko ajisifuye, ikiwa anahitaji chakula. |
Kuna mtu anayejitajirisha, lakini hana kitu; Kuna anayejifanya kuwa maskini, lakini ana mali nyingi.