Methali 12:8 - Swahili Revised Union Version8 Mtu atasifiwa kwa kadiri ya akili zake; Bali mwenye moyo wa ukaidi atadharauliwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mtu husifiwa kadiri ya hekima yake, lakini mtu wa fikira mbaya hudharauliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mtu husifiwa kadiri ya hekima yake, lakini mtu wa fikira mbaya hudharauliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mtu husifiwa kadiri ya hekima yake, lakini mtu wa fikira mbaya hudharauliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Mtu atasifiwa kwa kadiri ya akili zake; Bali mwenye moyo wa ukaidi atadharauliwa. Tazama sura |