Mathayo 15:8 - Swahili Revised Union Version8 Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 ‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 ‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 ‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Tazama sura |