Methali 13:7 - Swahili Revised Union Version7 Kuna mtu anayejitajirisha, lakini hana kitu; Kuna anayejifanya kuwa maskini, lakini ana mali nyingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Baadhi hujidai kuwa matajiri kumbe hawana kitu; wengine hujiona kuwa maskini hali wana mali tele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Baadhi hujidai kuwa matajiri kumbe hawana kitu; wengine hujiona kuwa maskini hali wana mali tele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Baadhi hujidai kuwa matajiri kumbe hawana kitu; wengine hujiona kuwa maskini hali wana mali tele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Kuna mtu anayejitajirisha, lakini hana kitu; Kuna anayejifanya kuwa maskini, lakini ana mali nyingi. Tazama sura |