Luka 14:11 - Swahili Revised Union Version11 Kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa na anayejishusha, atakwezwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa na anayejishusha, atakwezwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa na anayejishusha, atakwezwa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa. Tazama sura |