Methali 12:27 - Swahili Revised Union Version Mtu mvivu hapiki mawindo yake; Bali mwenye bidii anazo mali za thamani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwindaji mvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa. Biblia Habari Njema - BHND Mwindaji mvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwindaji mvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali ya thamani. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. BIBLIA KISWAHILI Mtu mvivu hapiki mawindo yake; Bali mwenye bidii anazo mali za thamani. |
Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
Kama vile mlango ugeukavyo katika bawaba zake; Kadhalika mtu mvivu katika kitanda chake.