Naye Absalomu humwambia, Tazama, maneno yako ni mema yenye haki; lakini hapana mtu aliyeagizwa na mfalme kukusikiliza.
Methali 12:2 - Swahili Revised Union Version Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu, bali Mwenyezi Mungu humhukumu mwenye hila. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa bwana, bali bwana humhukumu mwenye hila. BIBLIA KISWAHILI Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. |
Naye Absalomu humwambia, Tazama, maneno yako ni mema yenye haki; lakini hapana mtu aliyeagizwa na mfalme kukusikiliza.
Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho; Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa; Wala hakuna kuponyoka katika vita vile; Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.
Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.
Kwa kuwa ni shida mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki; lakini yawezekana mtu kuthubutu kufa kwa ajili ya mtu aliye mwema.