Methali 6:9 - Swahili Revised Union Version Ewe mvivu, utalala hadi lini? Utaondoka lini katika usingizi wako? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ewe mvivu, utalala hapo mpaka lini? Utaamka lini katika usingizi wako? Biblia Habari Njema - BHND Ewe mvivu, utalala hapo mpaka lini? Utaamka lini katika usingizi wako? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ewe mvivu, utalala hapo mpaka lini? Utaamka lini katika usingizi wako? Neno: Bibilia Takatifu Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako? Neno: Maandiko Matakatifu Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako? BIBLIA KISWAHILI Ewe mvivu, utalala hadi lini? Utaondoka lini katika usingizi wako? |
Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?
Kama vile mlango ugeukavyo katika bawaba zake; Kadhalika mtu mvivu katika kitanda chake.
Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.
Ee Yerusalemu, jioshe moyo wako usiwe na uovu, upate kuokoka. Mawazo yako mabaya yatakaa ndani yako hata lini?
Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini