Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




Methali 6:10 - Swahili Revised Union Version

Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Wasema: “Acha nilale kidogo tu, acha nisinzie kidogo! Niache nikunje mikono nipumzike kidogo!”

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Wasema: “Acha nilale kidogo tu, acha nisinzie kidogo! Niache nikunje mikono nipumzike kidogo!”

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Wasema: “Acha nilale kidogo tu, acha nisinzie kidogo! niache nikunje mikono nipumzike kidogo!”

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Kulala kidogo, kusinzia kidogo, kukunja mikono kidogo upate kupumzika:

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika:

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!

Tazama sura
Tafsiri zingine



Methali 6:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.


Usipende usingizi usije ukawa maskini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula.


Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.


Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima.


Ewe mvivu, utalala hadi lini? Utaondoka lini katika usingizi wako?


Mpumbavu huikunja mikono yake, Naye hula chakula chake mwenyewe;