Methali 5:23 - Swahili Revised Union Version Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye hufa kwa utovu wa nidhamu, huangamia kwa sababu ya upuuzi wake mkuu. Biblia Habari Njema - BHND Yeye hufa kwa utovu wa nidhamu, huangamia kwa sababu ya upuuzi wake mkuu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye hufa kwa utovu wa nidhamu, huangamia kwa sababu ya upuuzi wake mkuu. Neno: Bibilia Takatifu Atakufa kwa kukosa nidhamu, akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe. Neno: Maandiko Matakatifu Atakufa kwa kukosa nidhamu, akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe. BIBLIA KISWAHILI Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake. |
Naye atawarudishia uovu wao, Atawaangamiza katika ubaya wao, Naam, BWANA, Mungu wetu, atawaangamiza.
Mtu mbaya husukumwa chini katika kutenda mabaya kwake; Bali mwenye haki ana matumaini katika kufa kwake.