Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 6:1 - Swahili Revised Union Version

1 Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako, Ikiwa wewe na mgeni mmepeana mikono,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mwanangu, kama umejitolea kumdhamini jirani yako, ikiwa umetoa ahadi yako kwa ajili ya mtu huyo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mwanangu, kama umejitolea kumdhamini jirani yako, ikiwa umetoa ahadi yako kwa ajili ya mtu huyo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mwanangu, kama umejitolea kumdhamini jirani yako, ikiwa umetoa ahadi yako kwa ajili ya mtu huyo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako, ikiwa umeshikana mikono kwa kuweka ahadi kwa ajili ya mwingine,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako, ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi kwa ajili ya mwingine,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako, Ikiwa wewe na mgeni mmepeana mikono,

Tazama sura Nakili




Methali 6:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi nitakuwa mdhamini wake, umtake mkononi mwangu. Nisipomleta tena kwako, na kumweka mbele yako, nitakuwa mwenye hatia mbele yako daima;


Nipe rehani basi, uwe dhamana kwa ajili yangu kwako wewe mwenyewe; Kuna nani atakayeniwekea dhamana?


Amdhaminiye mgeni hakosi ataumia; Achukiaye mambo ya dhamana yuko salama.


Asiye na hekima hupeana mkono na mtu; Na kuwa mdhamini wa mtu mwingine.


Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoze rehani aliye mdhamini wa wageni.


Usiwe mmoja wao wawekao rehani; Au walio wadhamini kwa deni za watu;


Twaa nguo yake amdhaminiye mgeni; Mtoza rehani aliye mdhamini wa malaya.


Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako,


Maana wewe umewaacha watu wako, nyumba ya Israeli, kwa sababu wamejaa kawaida za mashariki, nao ni wapiga ramli kama Wafilisti, na wanapeana mikono na wana wa wageni.


basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo