Methali 6:2 - Swahili Revised Union Version2 Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako, Tazama sura |