Methali 14:14 - Swahili Revised Union Version14 Ageukaye moyoni hushiba njia zake mwenyewe; Na mtu mwema ataridhika nafsini mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Mtu mpotovu atavuna matunda ya mwenendo wake, naye mtu mwema atapata tuzo la matendo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Mtu mpotovu atavuna matunda ya mwenendo wake, naye mtu mwema atapata tuzo la matendo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Mtu mpotovu atavuna matunda ya mwenendo wake, naye mtu mwema atapata tuzo la matendo yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Ageukaye moyoni hushiba njia zake mwenyewe; Na mtu mwema ataridhika nafsini mwake. Tazama sura |