Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari, hata hapatakuwa na mtu katika wafalme kama wewe, siku zako zote.
Methali 4:9 - Swahili Revised Union Version Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji la uzuri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako, atakupa taji maridadi.” Biblia Habari Njema - BHND Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako, atakupa taji maridadi.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako, atakupa taji maridadi.” Neno: Bibilia Takatifu Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji la utukufu.” Neno: Maandiko Matakatifu Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji ya utukufu.” BIBLIA KISWAHILI Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji la uzuri. |
Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari, hata hapatakuwa na mtu katika wafalme kama wewe, siku zako zote.
Katika siku ile BWANA wa majeshi atakuwa ni taji la fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake.
bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.
Yeye ashindaye, nitamridhia kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi, kama mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu katika kiti chake cha enzi.