Methali 1:9 - Swahili Revised Union Version9 Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, Na mikufu shingoni mwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 hayo yatakupamba kilemba kichwani pako, kama mkufu shingoni mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 hayo yatakupamba kilemba kichwani pako, kama mkufu shingoni mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 hayo yatakupamba kilemba kichwani pako, kama mkufu shingoni mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako, na mkufu wa kuipamba shingo yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako, na mkufu wa kuipamba shingo yako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, Na mikufu shingoni mwako. Tazama sura |
Mfalme akalia kwa sauti kubwa, akaamuru waletwe wachawi, na Wakaldayo na wanajimu. Mfalme akanena, akawaambia wenye hekima wa Babeli, mtu awaye yote atakayesoma maandiko haya, na kunionesha tafsiri yake, atavikwa mavazi ya rangi ya zambarau, na kuwa na mkufu wa dhahabu shingoni mwake, naye atakuwa mtu wa tatu katika ufalme.