Methali 1:8 - Swahili Revised Union Version8 Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyapuuze mafundisho ya mama yako; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyapuuze mafundisho ya mama yako; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyapuuze mafundisho ya mama yako; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako, Tazama sura |