Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 1:7 - Swahili Revised Union Version

7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kumcha Mwenyezi Mungu ni chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kumcha bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Tazama sura Nakili




Methali 1:7
16 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha akamwambia mwanadamu, Tazama, kumcha Bwana ndiyo hekima, Na kujitenga na uovu ndio ufahamu.


Kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana ufahamu mzuri, Sifa zake zadumu milele.


Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?


Akataaye maonyo huidharau nafsi yake mwenyewe; Bali yeye asikilizaye lawama hujipatia ufahamu.


Kumcha BWANA ni maonyo ya hekima; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu.


Mpumbavu hudharau kurudiwa na babaye; Bali yeye aangaliaye maonyo hupata busara.


Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu.


Ndipo utakapofahamu kumcha BWANA, Na kupata kumjua Mungu.


Usiseme masikioni mwa mpumbavu; Maana atadharau hekima ya maneno yako.


Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.


Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu.


Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.


Zishikeni basi, mkazitende, maana hii ndiyo hekima yenu na akili zenu, machoni pa mataifa watakaozisikia amri hizi zote, nao watasema, Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na akili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo