Methali 4:10 - Swahili Revised Union Version10 Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwanangu, sikia na kuyapokea maneno yangu, ili upate kuwa na miaka mingi ya kuishi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwanangu, sikia na kuyapokea maneno yangu, ili upate kuwa na miaka mingi ya kuishi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwanangu, sikia na kuyapokea maneno yangu, ili upate kuwa na miaka mingi ya kuishi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi. Tazama sura |