Methali 16:31 - Swahili Revised Union Version31 Kichwa chenye mvi ni taji la utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kuwa na mvi za uzee ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kuwa na mvi za uzee ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kuwa na mvi za uzee ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Mvi ni taji la utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Mvi ni taji ya utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Kichwa chenye mvi ni taji la utukufu, Kama kikionekana katika njia ya haki. Tazama sura |