Isaya 28:5 - Swahili Revised Union Version5 Katika siku ile BWANA wa majeshi atakuwa ni taji la fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu, kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Katika siku ile, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni atakuwa taji la utukufu, taji zuri la maua kwa mabaki ya watu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Katika siku ile, bwana Mwenye Nguvu Zote atakuwa taji la utukufu, taji zuri la maua kwa mabaki ya watu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Katika siku ile BWANA wa majeshi atakuwa ni taji la fahari, na kilemba cha uzuri, kwa mabaki ya watu wake. Tazama sura |