Isaya 28:6 - Swahili Revised Union Version6 Naye atakuwa roho ya hukumu ya haki kwake yeye aketiye ili ahukumu; naye atakuwa nguvu kwao walindao langoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Waamuzi mahakamani atawaongoza kutenda haki, nao walinzi wa mji atawapa nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Atakuwa roho ya haki kwa yeye anayeketi kwenye kiti cha hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wazuiao vita langoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Atakuwa roho ya haki kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, chanzo cha nguvu kwa wale wazuiao vita langoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Naye atakuwa roho ya hukumu ya haki kwake yeye aketiye ili ahukumu; naye atakuwa nguvu kwao walindao langoni. Tazama sura |