Methali 4:12 - Swahili Revised Union Version Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio hutajikwaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukitembea hatua zako hazitazuiwa, wala ukikimbia hutajikwaa. Biblia Habari Njema - BHND Ukitembea hatua zako hazitazuiwa, wala ukikimbia hutajikwaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukitembea hatua zako hazitazuiwa, wala ukikimbia hutajikwaa. Neno: Bibilia Takatifu Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa; ukimbiapo, hutajikwaa. Neno: Maandiko Matakatifu Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa; ukimbiapo, hutajikwaa. BIBLIA KISWAHILI Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio hutajikwaa. |
Watakuja kwa kulia, na kwa maombi nitawaongoza; nitawapitisha kwenye mito ya maji, katika njia iliyonyoka; katika njia hiyo hawatajikwaa; maana mimi ni baba wa Israeli, na Efraimu ni mzaliwa wa kwanza wangu.
Tena, Jiwe la kujikwaza mguu, na mwamba wa kuangusha. Kwa maana hujikwaza kwa neno lile, wasiliamini, nao waliwekwa kusudi wapate hayo.