2 Samueli 22:37 - Swahili Revised Union Version37 Umezifanyia nafasi hatua zangu, Wala miguu yangu haikuteleza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Umenirahisishia njia yangu; wala miguu yangu haikuteleza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Umenirahisishia njia yangu; wala miguu yangu haikuteleza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Umenirahisishia njia yangu; wala miguu yangu haikuteleza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Huyapanua mapito yangu, ili miguu yangu isiteleze. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Huyapanua mapito yangu, ili miguu yangu isiteleze. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Umezifanyia nafasi hatua zangu, Wala miguu yangu haikuteleza. Tazama sura |