2 Samueli 22:38 - Swahili Revised Union Version38 Nimewafuatia adui zangu, na kuwaangamiza; Wala sikurudi nyuma hadi walipokomeshwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Niliwafuatia adui zangu na kuwaangamiza, sikurudi nyuma mpaka wameangamizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Niliwafuatia adui zangu na kuwaangamiza, sikurudi nyuma mpaka wameangamizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Niliwafuatia adui zangu na kuwaangamiza, sikurudi nyuma mpaka wameangamizwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 “Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta, sikurudi nyuma hadi walipoangamizwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 “Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Nimewafuatia adui zangu, na kuwaangamiza; Wala sikurudi nyuma hadi walipokomeshwa. Tazama sura |