2 Samueli 22:39 - Swahili Revised Union Version39 Nami nimewakomesha na kuwapiga wasiweze kusimama; Naam, wameanguka chini ya miguu yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Niliwaangamiza, nikawaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Niliwaangamiza, nikawaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Niliwaangamiza, nikawaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Nami nimewakomesha na kuwapiga wasiweze kusimama; Naam, wameanguka chini ya miguu yangu. Tazama sura |
Kisha ikawa hapo walipomletea Yoshua hao wafalme watano hapo nje, Yoshua akawaita wanaume wote wa Israeli, akawaambia majemadari wa watu wa vita waliokwenda naye, Haya, jongeeni karibu, mweke nyayo za miguu yenu katika shingo za wafalme hawa. Nao wakajongea karibu, wakatia nyayo zao katika shingo zao.