2 Samueli 22:40 - Swahili Revised Union Version40 Maana umenijaza nguvu ya kupigana vita; Ukawafanya adui zangu wafifie chini yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha adui chini yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha adui chini yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha adui chini yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Maana umenijaza nguvu ya kupigana vita; Ukawafanya adui zangu wafifie chini yangu. Tazama sura |