Methali 30:23 - Swahili Revised Union Version Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mwanamke asiyependwa anayeolewa; na mjakazi achukuapo nafasi ya bibi yake. Biblia Habari Njema - BHND mwanamke asiyependwa anayeolewa; na mjakazi achukuapo nafasi ya bibi yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mwanamke asiyependwa anayeolewa; na mjakazi achukuapo nafasi ya bibi yake. Neno: Bibilia Takatifu mwanamke asiyependwa anapoolewa, na mjakazi anapochukua nafasi ya bibi yake. Neno: Maandiko Matakatifu mwanamke asiyependwa aolewapo, naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. BIBLIA KISWAHILI Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake. |
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.