Methali 30:22 - Swahili Revised Union Version22 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mtumwa anayekuwa mfalme; mpumbavu anayeshiba chakula; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mtumwa anayekuwa mfalme; mpumbavu anayeshiba chakula; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 mtumwa anayekuwa mfalme; mpumbavu anayeshiba chakula; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 mtumwa anapokuwa mfalme, mpumbavu anaposhiba chakula, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Mtumwa awapo mfalme, mpumbavu ashibapo chakula, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula; Tazama sura |