Methali 30:23 - Swahili Revised Union Version23 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 mwanamke asiyependwa anayeolewa; na mjakazi achukuapo nafasi ya bibi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 mwanamke asiyependwa anayeolewa; na mjakazi achukuapo nafasi ya bibi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 mwanamke asiyependwa anayeolewa; na mjakazi achukuapo nafasi ya bibi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 mwanamke asiyependwa anapoolewa, na mjakazi anapochukua nafasi ya bibi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 mwanamke asiyependwa aolewapo, naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake. Tazama sura |